Rapper wa muziki wa Marekani
Fetty Wap mkali wa single
Trap queen ilifanya vizuri kote duniani.leo kaja na kitu kingine
Make you feel Good ni ngoma inayotoka kwenye mixtape yake mpya inayoitwa
Zoovier .unaweza kucheki video hapa
https://youtu.be/eRsSxEVmSnw
No comments:
Post a Comment