 |
DJ MAPHORISA NA WIZ KID |
Dj maphorisa na Wiz kid walifanya ngoma awali ya
Soweto baby ikafanya poa kote Africa na kuchukua Tuzo za MTV zilizofanyika South africa ila safari hii wameamua kurudi tena na upya kwa ngoma inayoitwa
Good Love .producer akiwa
Dj Maphorisa na
Nana Rouge.Unaweza kuicheki video hapa
https://youtu.be/_bhs0s0nRbs
No comments:
Post a Comment