 |
Idris |
kama mtu wa kupenda kujua ya mtandao basi utakuwa umekutana na hili la
NIGERIA .Idris, raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 21, amekuwa akipaka viatu rangi kwa muda wa miaka mitatu na amekuwa akipata pesa zaidi ya dolla 5.watu wengi wa jiji
ABUJA wamekuwa wanadharau sana kazi kwa kutokujua wanaingiza kiasi gani? ambacho kinaendesha maisha yangu ,Maneno hayo kayasema Idris
Anasema hungiza pesa kushinda hata wafanyakazi wa serikalini ,stahiri yake ni sawa hapa vijana wa kitanzania wanvyo pita kila mtaa akipaka rangi wakinadada na yeye hupita kila kona ya jiji la
ABUJA kwa wateja wake kupaka rangi viatu
 |
Idris |
No comments:
Post a Comment