 |
Donald Trump |
Rais mteule wa Marekani,
DONALD TRUMP, amemteua mwenyekiti wa kamati ya
taifa ya chama cha Republican, Reince Priebus, kutumika kama mkuu wa
wafanyakazi.
 |
Reince Piebus |
REINCE PIEBUS ana uhusiano wa karibu na spika wa baraza la wawakilishi Paul
Ryan. Wandishi wa wa habari wanaarifu kwamba uteuzi wa Piebus unaweza
kuwaudhi wafuasi wake wa hali ya chini na hii inaashiria kwamba uongozi
ujao unalenga kufanya kazi kwa karibu na baraza la Congress
kujihakikishia ushindi wa mapema wa baraza hilo.
No comments:
Post a Comment