PETE SOUZA ndiye aliyekuwa
Official White House photographer Barack Obama.una ambiwa jamaa anajua kupiga picha na ndo taaluma yake popote pale obama anapokuwepo picha zote zilikuwa zina pigwa na Pete Souzi

PETE SOUZA amezaliwa mwaka 31.12.1954 huko New Bedford Massachusetts,amesomea maswala ya upigaji picha katika vyuo viwili ambavyo ni
Kansas State University Boston University
No comments:
Post a Comment