 |
Dela |
 |
Dela |
Adeline Maranga jina maarufu
Dela jina hili linaweza likawa si geni kwako kwenye muziki hasa pale aliporudia kibao cha mkali wa mziki wa taratibu
ADELE kupitia wimbo wake wa Hello ulofanya vizuri sana duniani kote na kumuingizia mamillioni ya pesa na huku kuacha ngumzo kwa kurudiwa na mamia ya watu kuimba kama yeye alivyo imba.kwa hapa kwetu Tanzania wimbo huo ulirudiwa na msaani
Beka Ibrozama na kuimba vizuri sana na kusikilizwa na watanzania na wengine kutokujua hata uhalisi wa mwenye nyimbo.lakini kubwa lilistua afrika mashariki ni baada ya
Dela kuimba kwa lugha ya kiswahili na bahati nzuri nyimbo aloimba
Dela yenye maneno ya kiswahili ili weza kufanya vizuri hata nje pale ilipochezwa kwenye vituo vya radio vya wingereza na hata yeye mwenyewe
Adele aliposikia alimpongeza sana
Dela kwa alichokifanya .unaweza kuitazma video hiyo hapa
https://youtu.be/3A_6ukgyNvQ
No comments:
Post a Comment