 |
Jackie Chan |
Kwa wale wapenzi wa filam na hata si wapanzi wa filam jina hili halitakuwa si geni kwako
JACKIE CHAN kipenzi cha wachina wengi na ulimwenguni kote kwa uhodali wa kucheza filam.amezaliwa mnamo tarehe 7.4.1954 akiwa na miaka 62 huko
Victoria Peak, Hong Kong
Jana ilikuwa siku yenye furaha kwake kwa kupewa tuzo ya heshima kwa kucheza filam takribani 200,tuzo hizo zimetolewa Marekani katika jiji la Los Angeles.
 |
Chris Tucker akimkabidhi tuzo Jackie Chan
Jackie Chan akiwa pozi la picha ya pamoja na Syveter Stallone |
 |
Jackie Chan akipongezwa na Syveter Stallone Rambo |
No comments:
Post a Comment