Saturday, November 12, 2016

DAVIDO AFUNGUA ACCOUNT NYINGINE YA INSTAGRAM

Mkali kutoka Nigeria Davido star wa hit song How Long alomshirikisha mkali kutoka Marekani Tinashe.God new kutoka kwake ameamua kufungua account ya Instagram ambayo itakuwa inadili na habari mbalimbali ambazo zinamhusu yeye na mziki wake

No comments:

Post a Comment