 |
Fidel Castro |
Serekali ya Cuba imetangaza siku tisa za maombolezo ya kifo cha rais mstaafu wa nchi hiyo Fidel Castro,huku ukiwekwa wazi utaratibu wa mazishi yake kwa kufuata usiya wake mwenye marehem ,Mwili wake, utachomwa hadi kuwa majivu kama alivyotaka, katika sherehe
ya kibinafsi, ambapo majivu yake yatazungushwa katika msafara maalumu
kote nchini kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya Mji wa Santiago Desemba
tarehe nne.
Akiwa kiongozi mwenye mrengo wa kushoto na mwanamapinduzi msifiwa, alipendwa na kuchukiwa na watu mbalimbali kote duniani
 |
Fidel Castro |
No comments:
Post a Comment