 |
MEEK MILL |
Rapa wa Mareakani
Robert Williams a.k.a MEEK MILL ametoa mixtape yake ya Nne 2016 baada ya ile ya awali kufanya vizuri ilikuwa inatwa Dreams worth more than money iliyotoka mwaka 2015 ilikuwa na hit song kibao.DC4 ndo mixtape aloiachia tarehe 28 october 2016 yenye track 14 ,imetoka kwenye Maybach Music Group and Atlantic,huku akiwa kaachia nyimbo The difference alomshirikisha rapa QUAVO aloifanyia video.mixtape hii inashika nafasi ya 3 kwenye Billbord Chat.Track zilizomo kwenye mixtape hiyo
1. “Intro”
2. “Blessed”
3.“Litty” feat. Tory Lanez.
4. “Shine”
5. “Froze” feat. Lil Uzi Vert & Nicki Minaj
6. “Difference” feat. Quavo
7. “Lights Out” feat. Don Q
8. “Blue Notes”
9 . “Offended” feat.
Young Thug &
21 Savage
10. “You Know” feat. YFN Lucci
11. “Way Up” feat. Tracy T
12. “2 Wrongs” feat. Guordan Banks &
Pusha T
13 . “Tony Story”
 |
DC4 MIXTAPE COVER |
14. "Outro" feat.
Lil Snupe & French Montana
No comments:
Post a Comment