Vanessa na
Jux ambao ni wapenzi wa muda wanafatiliwa na mashabiki kulingana na kazi zao mziki.walitoa wimbo wa pamoja uloitwa
JUU na ukafanya vizuri sasa wametoa video ya wimbo huo ,directer wa wimbo huo ni
Justin Campous .unaweza kuitazama video hapa
https://youtu.be/OStQJPpYudY
No comments:
Post a Comment