![]() |
FIDEL CASTRO |
Jivu la aliyekuwa rais wa Cuba Fidel
Castro limezikwa katika kiunga cha makaburi mjini Santiago, na hivyo
kumaliza siku tisa za maombolezo ya kitaifa nchini Cuba.
Familia
na wageni wachache walialikwa katika shughuli hiyo ya faragha,
iliyofanywa karibu na makumbusho ya shujaa wa uhuru wa Cuba, Jose Marti.![]() |
MAJIVU YA FIDEL CASTRO YAKIWA YAMEBEBWA KWENYE GARI MAALUM |
No comments:
Post a Comment