 |
Kanye Wes ,Kim Kardashian na Watoto wao |
Kama una fatilia maisha ya mastar hawa wa wili Kanye West na Mkewe Kim Kardashian kumekuwa na habari ambazo zinaonyesha wazi kuvunjika kwa ndoa ya yao .matatizo yameaza pale Kanye West kuungua malazi na kupelekea kulazwa Hospital na hatimaye kuruhusiwa kulejea katika familia yake .Taharifa z
 |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
iliweza kutolewa na doktar kuwa ugonjwa wake una sababishwa na uchomvu ,msongo wa mawazo .
 |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
Kim ameibuka na haya na kushanga watu baada ya kudai taraka kwa mmewe kwa kusema tahafari doktar inaonyesha kuwa mmewe anatakiwa kukaa mbali na siraha ya aina yoyote ili kwa usalama kwa watu wengina hata kwa watoto wake .
 |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
Kim anakamilisha kesi ya madai ya talaka
ambayo itampa haki zote za kulea watoto wao wiwili North mwenye miaka
mitatu pamoja na Saint ambaye ametimiza mwaka mmoja Jumatatu ya wiki
hii Dec, 5. 2016
No comments:
Post a Comment