Thursday, December 1, 2016

ADIDAS WAMETOA VIATU VYA AINA NYINGINE (YEEZY)

VIATU VYA AINA YA YEEZY
VIATU VYA AINA YA YEEZY
Kampuni ya utengeneza viatu Adidas wametoa viatu Yeezy ambavyo vina milikiwa na Kanye West kwenye lebo yake ya mavazi.viatua hivi vimepewa jina la utani Mafia vikiwa vinatofauti na vya awali,vyenyewe vya sasa vinamstari wa rangi nyeupe unaoazia juu ya kisigino kushuka jina ya vidole kwa kuzunguka pembeni mwa juu ya soli

No comments:

Post a Comment