Nedy Music katuletea hii kwa mara nyingine good music masikioni mwetu baada ya awali kufanya vizuri na hit song iliyo mtoa akiwa kamshirikisha boss wake
Ommy Dipomz ila safari hii yuko na
Christian Bella nyimbo inaitwa
RUDI video ikiwa imefabywa na Directer
Hanscana unaweza kuitazama hapa
https://youtu.be/RQ49vhq45aU
No comments:
Post a Comment