Baada ya kuwepo kwa ngumzo la nyimbo ya
Diamond kamshirikisha mkali wa rnb
Ne-yo kutoka Mrekani nyimbo yenyewe inaitwa
MARRY YOU ,kwa mara ya kwanza ilifanyiwa show kwenye tamasha la jember festival lilofanyika jijini Mwanza waliweza kupanda jukwaani kufanya show kwa pamoja unaweza kuisikiliza Audio
http://www.audiomack.com/search?q=Diamond+Platnumz
No comments:
Post a Comment