Saturday, December 24, 2016
VIDEO MPYA LAMECK DITTO (MOYO SUKUMA DAMU)
Zao la THT la muda mrefu Lameck Ditto kaja na video mpya MOYO SUKUMA DAMU una weza kuitazma video hapa https://youtu.be/C5Xouwo9WYI
Friday, December 23, 2016
MAJARIBIO YA CHANJO YA EBOLA YA FANIKIWA
Majaribio ya chanjo cha ugonjwa wa Ebola yamebainika kuwa yana uwezo na nguvu zaidi dhidi ya virusi vya ugonjwa huo hatari.
Majaribio
yake yamefanyiwa nchini Guinea, mojawepo ya mataifa ya Afrika magharibi
ambayo yalikumbwa na mlipuko wa ugonjwa huo, ambao ulimalizika mwaka
huu.Matokeo ya mwisho ya majaribio hayo, yaliyochapishwa kwenye jarida la maswala ya matibabu linalochapishwa nchini Uingereza, The Lancet, yanaonyesha kuwa takriban watu elfu sita waliopata chanjo hiyo, walionekana kuwa bila ugonjwa huyo siku kumi baadaye.
AUDIO MPYA YA MABESTE (KAA LA ROHO)
Audio mpya ya Mabeste KAA LA ROHO ndo kaachia zawadi ya mwisho wa mwaka kwa mashabiki zake baada ya kuwa kimya kwa muda kidogo,unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/1405
Thursday, December 22, 2016
AUDIO MWASITI (KAA NAO)
Mwasiti karutea hii masikioni mwetu KAA NAO producer akiwa Ima ze boy ndo katengeneza unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/65#collapse16483
BAGHDAD ,ROMA FT SNURA (K)
Baghdad ,Roma,ft Snura wamekuja na nyimbo ya pamoja inaitwa K huku mwana dada snura akiwa kaweka vionjo vyake.unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/4288#collapse16560
VIDEO MPYA BELLE 9 FT G NAKO (GIVE IT TO ME)
RONALDO NDIYE STAR ANAYEONGOZA KUWA NA MASHABIKI WENGI FACEBOOK
Star wa mpira wa miguu Christian Ronald ametwaja na FACEBOOK kuwa ndo star mwenye mashabiki wengi kupitia account yake.akiwa kawapita mastar wa mziki,huku ikwa hasimu wake wa mpira Lionel Messi akiwa anashika nafasi ya 5.iko hapa chini list nzima watu maarufu wenye watu wengi
NOKIA YAISHITAKI APPLE
Kampuni ya Nokia kutoka nchini Finland imesema kuwa inaishtaki kampuni ya Apple kwa kukiuka haki 32 za kiteknolojia.
Kesi hiyo ya Nokia imewasilishwa katika mahakama tatu nchini Ujerumani na Texas.Madai hayo yanashirikisha matangazo, matumizi ya Interface, programu ,antena, chipu na alama za siri za video.
Siku ya Jumanne ,Apple ilianzisha mashtaka dhidi ya kampuni ya utafiti ya Acacia Research pamoja na kampuni ya umiliki wa mali ya Conversant Intellectual Property managament ikidai kuwa ilishirikiana na Nokia kuilaghai fedha Apple.
Nokia ilisema: tangu kuweka makubaliano kuhusiana na leseni zinazosimamia teknolojia hizo kutoka kwa Nokia 2011, Apple imekataa maombi yaliofanywa na Nokia kuzipatia leseni baadhi ya tekenolojia zilizovumbuliwa ambazo hutumika na bidhaa nyingi za Apple.
Kati ya mwaka 2009 na 2011,kampuni hizo mbili zilikabiliana mahakamani kuhusu uvumbuzi huo wa kiteknolijia uliotumika katika simu zao.
Wakati huo Nokia ilikuwa inaongoza kama kampuni inayootengeza simu duniani lakini ikawa inakandamizwa na kuimarika kwa ya Apple.
iPhone
Friday, December 16, 2016
VIDEO MPYA YA Q CHILLAH (SUNGURA)
Mkongwe Q Chillah katoa video mpya mwisho wa mwaka kwa mashabiki wake,wimbo wake unaitwa SUNGURA.video imefanyika South africa na directer Justin Campos ,unaweza kuitazma video hapa https://youtu.be/rcQ0M6NPi7s
AUDIO MPYA YA DIAMOND PLATNUM FT NE-YO (MARRY YOU)
Baada ya kuwepo kwa ngumzo la nyimbo ya Diamond kamshirikisha mkali wa rnb Ne-yo kutoka Mrekani nyimbo yenyewe inaitwa MARRY YOU ,kwa mara ya kwanza ilifanyiwa show kwenye tamasha la jember festival lilofanyika jijini Mwanza waliweza kupanda jukwaani kufanya show kwa pamoja unaweza kuisikiliza Audio http://www.audiomack.com/search?q=Diamond+Platnumz
VIDEO MPYA YA NAY WA MITEGO (SIJIWEZI)
Baada ya kuwa kimya kaja na ngoma mpya SIJIWEZI Nay wa Mitege video imefanyika hapa hapa Tanzania,unaweza kuitazama hapa https://youtu.be/3LZo7Awn3no
Wednesday, December 14, 2016
VIDEO MPYA IZZO B NA ADELA MUSIC (UMENIWEZA)
Izzo B na Adela Music wametuleta hii UMENIWEZA baaday kufanya vizuri kwa single yao walitoa na safari hii wamerudi tena,unaweza icheki video hapa https://youtu.be/07OOpiRoqPc
VIDEO MPYA YA GIGY FT MATONYA (SUPU)
Video vix maaru Gigy Money ameachia video yake ya wimbo wa SUPU alomshirikisha Matonya ,video hiyo imefanywa na directer Joowezy .unaweza kuitazama video hapa https://youtu.be/_4PsvCBXt7s
FAHAM WASHINDI WA TUZO (Ballon d’Or) TOKA ZILIVYO AZISHWA
Tuzo hii hudhani imeanza miaka ya karibuni
na hasa wakati ambao kuna mchuano mkali wa mastaa wa soka wawili, CR7
na Messi. Leo nimeitafuta list nzima ya wanasoka wengine waliowahi
kushinda tuzo hii kuanzia mwaka 1956.
Nchi ambazo zimewahi kuchukua Ballon d’Or kwa wachezaji wa mataifa hayo Ureno(6), Argentina (5), Italia (5), Brazil (5), Ukraine (1), Jamhuri ya Czech (2), Uingereza (5), Ufaransa (6), Ujerumani (7),Liberia(1),Bulgaria (1), Uholanzi (7), Urusi (3), Northen Irish (1), Hungary (1), Denmark (1), Scotland (1) na Hispania (3)
Nchi ambazo zimewahi kuchukua Ballon d’Or kwa wachezaji wa mataifa hayo Ureno(6), Argentina (5), Italia (5), Brazil (5), Ukraine (1), Jamhuri ya Czech (2), Uingereza (5), Ufaransa (6), Ujerumani (7),Liberia(1),Bulgaria (1), Uholanzi (7), Urusi (3), Northen Irish (1), Hungary (1), Denmark (1), Scotland (1) na Hispania (3)
2016: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2015: Lionel Messi (Argentina)
2014: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2013: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2012: Lionel Messi (Argentina)
2011: Lionel Messi (Argentina)
2010: Lionel Messi (Argentina)
2009: Lionel Messi (Argentina)
2008: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2006: Fabio Cannavaro (Italia)
2007: Kaka (Brazil)
2005: Ronaldinho (Brazil)
2004: Andrei Shevchenko (Ukraine)
2003: Pavel Nedved (Jamhuri ya Czech)
2002: Ronaldo (Brazil)
2001: Michael Owen (Uingereza)
2000: Luis Figo (Ureno)
1999: Rivaldo (Brazil)
1998: Zinedine Zidane (Ufaransa)
1997: Ronaldo (Brazil)
1996: Matthias Sammer (Ujerumani)
1995: George Weah (Liberia)
1994: Hristo Stoichkov (Burgaria)
1993: Roberto Baggio (Italia)
1992: Marco van Basten (Uholanzi)
1991: Jean-Pierre Papin (Ufaransa)
1990: Lothar Matthäus (Ujerumani)
1989: Marco van Basten (Uholanzi)
1988: Marco van Basten (Uholanzi)
1987: Ruud Gullit (Uholanzi)
1986: Igor Belanov (Urusi)
1985: Michel Platini (Ufaransa)
1984: Michel Platini (Ufaransa)
1983: Michel Platini (Ufaransa)
1982: Paolo Rossi (Italia)
1981: Karl-Heinz Rummenigge (Ujerumani)
1980: Karl-Heinz Rummenigge (Ujerumani)
1979: Kevin Keegan (Uingereza)
1978: Kevin Keegan (Uingereza)
1977: Alan Simonsen (Denmark)
1976: Franz Beckenbauer (Ujerumani)
1975: Oleg Blokhin (Urusi)
1974: Johan Cruyff (Uholanzi)
1973: Johan Cruyff (Uholanzi)
1972: Franz Beckenbauer (Ujerumani)
1971: Johan Cruyff (Uholanzi)
1970: Gerd Mueller (Ujerumani)
1969: Gianni Rivera (Italia)
1968: George Best (Northern Irish)
1967: Florian Albert (Hungary)
1966: Bobby Charlton (Uingereza)
1965: Eusebio (Ureno)
1964: Denis Law (Scotland)
1963: Lev Yashin (Urusi)
1962: Josef Masopust (Jamhuri ya Czech)
1961: Omar Sivori (Italia)
1960: Luis Suarez (Hispania)
1959: Alfredo Di Stefano (Hispania)
1958: Raymond Kopa (Ufaransa)
1957: Alfredo Di Stefano (Hispania)
1956: Stanley Matthews (Uingereza)
AUDIO MPYA NANDY (ONE DAY)
Baada ya kufanya vizuri kwa single yake Nagusa gusa sasa leo Nandy kaja na Good song ONE DAY unaweza isikiliza hapa https://mkito.com/artist/95
Tuesday, December 13, 2016
VIDEO MPYA BIG SEAN (BOUNCE BACK)
Rapper wa kimarekani wa hip hop Big Sean ametoa nyimbo mpya kwa mashabiki zake na kuachia video moja kwa moja unaweza itazama hapa https://youtu.be/phr1pOFK1V8
Monday, December 12, 2016
FORBEST WATOA LIST YA WANAMICHEZO WENYE PESA NYINGI
Jarida la mastar Duniani FORBEST wametoa list ya wanamichezo wenye pesa nyingi .hapa hujumuisha wanamichezo wote kama mpira wa miguu ,mpira wa kikapu,tenesi na michezo mingineyo yenye umaarufu kwa watu.list nzima iko chini hapo
1. Michael Jordan (£1.35 billion)
2. Tiger Woods (£1.31 billion)
3. Arnold Palmer (£1.07 billion)
4. Jack Nicklaus (£914 million)
5. Michael Schumacher (£794 million)
6. Kobe Bryant (£612 million)
7. Floyd Mayweather Jr. (£608 million)
8. Phil Mickelson (£604 million)
9. David Beckham (£580 million)
10. Shaquille O’Neal (£556 million)
11. Mike Tyson (£544 million)
12. Greg Norman (£540 million)
13. Lebron James (£508 million)
14. Cristiano Ronaldo (£493 million)
15. Roger Federer (£477 million)
16. Alex Rodriguez (£477 million)
17. Lionel Messi (£413 million)
18. Jeff Gordon (£409 million)
19. Oscar De La Hoya (£405 million)
20. Manny Pacquiao (£389 million)
2. Tiger Woods (£1.31 billion)
3. Arnold Palmer (£1.07 billion)
4. Jack Nicklaus (£914 million)
5. Michael Schumacher (£794 million)
6. Kobe Bryant (£612 million)
7. Floyd Mayweather Jr. (£608 million)
8. Phil Mickelson (£604 million)
9. David Beckham (£580 million)
10. Shaquille O’Neal (£556 million)
11. Mike Tyson (£544 million)
12. Greg Norman (£540 million)
13. Lebron James (£508 million)
14. Cristiano Ronaldo (£493 million)
15. Roger Federer (£477 million)
16. Alex Rodriguez (£477 million)
17. Lionel Messi (£413 million)
18. Jeff Gordon (£409 million)
19. Oscar De La Hoya (£405 million)
20. Manny Pacquiao (£389 million)
VIDEO MPYA YA VANESSA MDEE NA JUX (JUU)
Vanessa na Jux ambao ni wapenzi wa muda wanafatiliwa na mashabiki kulingana na kazi zao mziki.walitoa wimbo wa pamoja uloitwa JUU na ukafanya vizuri sasa wametoa video ya wimbo huo ,directer wa wimbo huo ni Justin Campous .unaweza kuitazama video hapa https://youtu.be/OStQJPpYudY
Sunday, December 11, 2016
NYIMBO MPYA YA Q CHILLAH FT PATORNKING (KOKU)
Baada ya kuwa kimya sana mkongwe wa muziki Q Chillah ameamua kutua kule Nigeria kwa kirabo na mkali wa ragga Patornking.wimbo unaitwa KOKU unaweza kudownload hapa https://mkito.com/song/14687
Thursday, December 8, 2016
KIM KARDASHIAN KUDAI TARAKA KWA KANYE WEST
![]() |
Kanye Wes ,Kim Kardashian na Watoto wao |
![]() |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
![]() |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
![]() |
Kanye Wes ,Kim Kardashian |
Kim anakamilisha kesi ya madai ya talaka ambayo itampa haki zote za kulea watoto wao wiwili North mwenye miaka mitatu pamoja na Saint ambaye ametimiza mwaka mmoja Jumatatu ya wiki hii Dec, 5. 2016
VIDEO MPYA NEDY MUSIC FT CHRISTIAN BELLA (RUDI)
Nedy Music katuletea hii kwa mara nyingine good music masikioni mwetu baada ya awali kufanya vizuri na hit song iliyo mtoa akiwa kamshirikisha boss wake Ommy Dipomz ila safari hii yuko na Christian Bella nyimbo inaitwa RUDI video ikiwa imefabywa na Directer Hanscana unaweza kuitazama hapa https://youtu.be/RQ49vhq45aU
Wednesday, December 7, 2016
VIDEO MPYA IYO NA DIAMOND PLATNUM (LOVING YOU)
Star wa Nigeria Iyo ametuleta burudani akiwa kamshirikisha Diamond Platnum.wimbo wenye unaitwa loving you .unaweza kuitazama hapa video https://youtu.be/S7man6rH36Y
DONALD TRUMP KUPIGA MANUNUZI YA NDEGE AIR FORCE ONE
![]() |
Rais Mteule wa Marekani Donald Trump |
Serikali ya Marekani iliingia kwenye mkataba na kampuni ya Boeing wa kuundwa kwa ndege mbili au zaidi za kuwabeba marais.
Ndege hizo zilitarajiwa kukamilika na kuanza kutumiwa mwaka 2024.
Hisa za kampuni hiyo ya ndege ya Boeing zilishuka kwa zaidi ya 1% baada ya ujumbe huo wa Trump kwenye Twitter, ingawa zilijikwamua baadaye alasiri.
![]() |
Air force one |
Tuesday, December 6, 2016
VIDEO MPYA SHOLO MWAMBA (GHETTO)
Mkali wa mziki wa singeli Sholo Mwamba amewapa ladha mashambiki zake kwa kutoa video ya Ghetto.directer wa video hiyo Ivan .unaweza itazama hapa https://youtu.be/nvRapk6fL2w
Monday, December 5, 2016
VIDEO MPYA YA YOUNG DEE (FURAHA)
Young Dee baada ya kuwa kimya sana na kuamua kurudi kwenye lebo yake iliyompa mafanikio kaja na kitu cha Furaha ndani ya video akiwa na Tunda aliyekuwa demu wake ila kwa sasa wamesha maliza na mapenzi yako kama zamani.video imefanywa na Directer Hascana .unaweza itazama hapa https://youtu.be/ilUOV16fBqA
VIDEO MPYA YA VANESSA MDEE (CASH MADEM)
Vanessa Mdee karudi na zawadi nyingine Cash madem ,video ikiwa imefanyika south africa directer akiwa Justin Campos unaweza kuitazama video hapa https://youtu.be/5dA5yfX6_30
Sunday, December 4, 2016
VIDEO MPYA YA RICK ROSS, GUCCINE MANE,2 CHAINZ (BUY BACK THE BLOCK)
Hii kutoka marekani Rick Ross kachia mdundo mwingine akiwa na wakali wengine kama Guccine Mane na 2 chain wakiwa wametoa kitu Buy back the Block unaweza kuitazama video hapa https://youtu.be/BUu8u7fX8Pc
JIVU LA ALIYEKUWA RAIS WA CUBE FIDEL CASTROL LIMEZIKWA
![]() |
FIDEL CASTRO |
Jivu la aliyekuwa rais wa Cuba Fidel
Castro limezikwa katika kiunga cha makaburi mjini Santiago, na hivyo
kumaliza siku tisa za maombolezo ya kitaifa nchini Cuba.
Familia
na wageni wachache walialikwa katika shughuli hiyo ya faragha,
iliyofanywa karibu na makumbusho ya shujaa wa uhuru wa Cuba, Jose Marti.![]() |
MAJIVU YA FIDEL CASTRO YAKIWA YAMEBEBWA KWENYE GARI MAALUM |
Saturday, December 3, 2016
CHINA WAMEAZISHA UTENGENEZAJI WA MFANO WA MELI YA TITANIC
Ujenzi huo wa mashua hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa
katika hifadhi iliyoko mashambani , katika mkoa wa Sichuan, .
Ujenzi huo uliaza siku ya Alhamisi.
Mashua ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast , iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 hatua iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500.
Mashua hiyo ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York.
Habari kuhusu meli hiyo ni swala ambalo liliwashangaza raia wengi kutoka China.Hisia zaidi ziliibuka mwaka 1997, baada ya filamu iliyokuwa ikimuangazia Kate Winslet na Leonardo DiCaprio, kuwa maarufu nchini humo.
Muelekezi wa filamu, James Cameron, kutoka Canada, alikuwa na mashua kama hiyo iliotengezwa kwa maswala ya uigizaji pekee , lakini hakuna mashua sawia na hiyo iliowahi kutengenezwa.
Bilionea mmoja kutoka Australia, Clive Palmer, alitangaza mipango yake ya kutengeneza mashua kama ya Titanic mwaka 2012, lakini mradi huo bado haujakamilika.Meli hiyo ya China, itakuwa yenye umbo sawa na ile ya Titanic , itakuwa na sehemu ya michezo, maonyesho, kuogelea na sehemu maalum ya watu maalum ambayo itakuwa na mtandao wa Wifi na inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika eneo hilo la theme park lililoko kilomita kadhaa kutoka pwani ya China.
Kampuni hiyo ilitangaza mipango wa mradi huyo, utakaogharimu Yuan bilioni moja mwaka 2014, kulingana na shirika la habari la AFP
Ujenzi huo uliaza siku ya Alhamisi.
Mashua ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast , iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 hatua iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500.
Mashua hiyo ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York.
Habari kuhusu meli hiyo ni swala ambalo liliwashangaza raia wengi kutoka China.Hisia zaidi ziliibuka mwaka 1997, baada ya filamu iliyokuwa ikimuangazia Kate Winslet na Leonardo DiCaprio, kuwa maarufu nchini humo.
Muelekezi wa filamu, James Cameron, kutoka Canada, alikuwa na mashua kama hiyo iliotengezwa kwa maswala ya uigizaji pekee , lakini hakuna mashua sawia na hiyo iliowahi kutengenezwa.
Bilionea mmoja kutoka Australia, Clive Palmer, alitangaza mipango yake ya kutengeneza mashua kama ya Titanic mwaka 2012, lakini mradi huo bado haujakamilika.Meli hiyo ya China, itakuwa yenye umbo sawa na ile ya Titanic , itakuwa na sehemu ya michezo, maonyesho, kuogelea na sehemu maalum ya watu maalum ambayo itakuwa na mtandao wa Wifi na inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika eneo hilo la theme park lililoko kilomita kadhaa kutoka pwani ya China.
Kampuni hiyo ilitangaza mipango wa mradi huyo, utakaogharimu Yuan bilioni moja mwaka 2014, kulingana na shirika la habari la AFP
![]() |
MELI YA TITANIC |
![]() |
ENEO LINAPOTENGENEZWA MELI |
VIDEO MPYA BOB JUNIOUR (CHUKU CHUKU)
Bob Juniour baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kwa mashabiki zake.Ameamua kuwapa radha mashabiki zake kwa kuachia wimbo chuku chuku na akiwa amefanya video na directer Khalfani unaweza kuitazma video hapa https://youtu.be/KY6jDfNsv0U
Thursday, December 1, 2016
ADIDAS WAMETOA VIATU VYA AINA NYINGINE (YEEZY)
![]() |
VIATU VYA AINA YA YEEZY |
![]() |
VIATU VYA AINA YA YEEZY |
VIDEO MPYA RUBY NA WAKAZI (SIJUTII REMIX)
Ruby na wakazi wametoa remix ya sijutii audio yake imetayarishwa na producer Ema The Boy na video ikiwa imefanywa na Directer EINXER una weza kuitazama video hiyo hapa https://youtu.be/SgnrW7dDPq0
MTI MREFU KULIKO YOTE BARANI AFRICA WAGUNDULIKA TANZANIA
![]() |
Mti mrefu Afrika wagunduliwa katika mlima Kilimanjaro nchini Tanzania |
Kama wewe ni mfatiliaji wa,mitandao utakuwa umekutana na hii story inayoihusu Tanzania.Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua
kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde
moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.
Wanasayansi kutoka
chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo
unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio mrefu zaidi barani.Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mti huo miaka 20 iliyopita, lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima urefu wake.
Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.
Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.
Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani
JOSE MOURINHO AFUNGIWA NA CHAMA MPIRA CHA WINGEREZA (AF)
![]() |
JOSE MOURINHO |
Chama cha soka cha England Fa
kimemfungia Meneja wa Manchester United Jose Mourinho mchezo mmoja
pamoja kumtoza faini ya pauni 16,000.
Adhabu hizo zimetokana na
kosa lake la kuipiga teke chupa ya maji wakati wa mechi ya jumapili
dhidi ya West Ham alipokasirishwa na mwamuzi Jonathan Moss kumuonyesha
kadi ya njano Paul Pogba badala ya wao kupewa Frikiki.Jose hatakuwepo katika benchi la ufundi la timu yake ikicheza mechi ya robo fainali ya kombe la ligi dhidi ya West Ham uwanjani old trafford usiku huu.
Hii ni mara ya pili kwa Mourinho kupata adhabu hiyo mara ya kwa alipigwa faini pauni 50,000 baada ya kutoa kauli dhidi ya mwamuzi Anthony Taylor, kabla ya Mechi hiyo iliyochezwa Oktoba 17 dhidi ya Liverpool.
Subscribe to:
Posts (Atom)