Saturday, December 24, 2016

VIDEO MPYA LAMECK DITTO (MOYO SUKUMA DAMU)

Zao la THT la muda mrefu Lameck Ditto kaja na video mpya MOYO SUKUMA DAMU una weza kuitazma video hapa https://youtu.be/C5Xouwo9WYI

Friday, December 23, 2016

MAJARIBIO YA CHANJO YA EBOLA YA FANIKIWA

Majaribio ya chanjo cha ugonjwa wa Ebola yamebainika kuwa yana uwezo na nguvu zaidi dhidi ya virusi vya ugonjwa huo hatari.
Majaribio yake yamefanyiwa nchini Guinea, mojawepo ya mataifa ya Afrika magharibi ambayo yalikumbwa na mlipuko wa ugonjwa huo, ambao ulimalizika mwaka huu.
Matokeo ya mwisho ya majaribio hayo, yaliyochapishwa kwenye jarida la maswala ya matibabu linalochapishwa nchini Uingereza, The Lancet, yanaonyesha kuwa takriban watu elfu sita waliopata chanjo hiyo, walionekana kuwa bila ugonjwa huyo siku kumi baadaye.

AUDIO MPYA YA MABESTE (KAA LA ROHO)

Audio mpya ya Mabeste KAA LA ROHO ndo kaachia zawadi ya  mwisho wa mwaka kwa mashabiki zake baada ya kuwa kimya kwa muda kidogo,unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/1405

Thursday, December 22, 2016

AUDIO MWASITI (KAA NAO)

Mwasiti karutea hii masikioni mwetu KAA NAO producer akiwa Ima ze boy ndo katengeneza unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/65#collapse16483

BAGHDAD ,ROMA FT SNURA (K)

Baghdad ,Roma,ft Snura wamekuja na nyimbo ya pamoja inaitwa K huku mwana dada snura akiwa kaweka vionjo vyake.unaweza kuisikiliza hapa https://mkito.com/artist/4288#collapse16560

VIDEO MPYA BELLE 9 FT G NAKO (GIVE IT TO ME)

Bellen 9 ft G nako wametuletea hii burudani macho mwetu kwa video kali ,imefanyika kule bondeni South africa ,unaweza kuitazama video hapa https://youtu.be/-vPIQAvMLBY

RONALDO NDIYE STAR ANAYEONGOZA KUWA NA MASHABIKI WENGI FACEBOOK

Star wa mpira wa miguu Christian Ronald ametwaja na FACEBOOK kuwa ndo star mwenye mashabiki wengi kupitia account yake.akiwa kawapita mastar wa mziki,huku ikwa hasimu wake wa mpira Lionel Messi akiwa anashika nafasi ya 5.iko hapa chini list nzima watu maarufu wenye watu wengi